Lucy dada kuna baadhi ya daladala za kutoka mby town kwenda uyole zinakela kinoma kwa tabia zao kutofika uyole na kufaulisha abiria stand ya nanenane na kuwa kero kwa abiria kutokna na abiria ambao wamefaulishwa kukosa seat na kusimama na pia daladala hizohizo za kutoka stand kuu na sokomatola makondakta wake husema wanaishia nanenane au sae wakati kumbe wanafika mpaka uyole ili tu wapge pesa mara mbili wafkapo nanenane wapakize abiria wa uyole suala hili linapelekea usumbufu kwa abiria husika kusubir daladala kwa muda mrefu na kuwa kero kubwa kwa abiria hao
JAMANI WAHUSIKA WA USALAMA BARABARANI NA SUMATRA MBEYA HII NI MOJA YA KERO TOKA KWA MDAU FUATILIENI NA NYIE MADEREVA WA DALADALA ACHENI KUFANYA HAYA JIREKEBISHENI UTII BILA SHURUTI
Lucy dada kuna baadhi ya daladala za kutoka mby town kwenda uyole zinakela kinoma kwa tabia zao kutofika uyole na kufaulisha abiria stand ya nanenane na kuwa kero kwa abiria kutokna na abiria ambao wamefaulishwa kukosa seat na kusimama na pia daladala hizohizo za kutoka stand kuu na sokomatola makondakta wake husema wanaishia nanenane au sae wakati kumbe wanafika mpaka uyole ili tu wapge pesa mara mbili wafkapo nanenane wapakize abiria wa uyole suala hili linapelekea usumbufu kwa abiria husika kusubir daladala kwa muda mrefu na kuwa kero kubwa kwa abiria hao
EmoticonEmoticon