BREAKING NEWS BASI LA ABOOD LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MUFINDI LIKITOKEA DAR KWENDA MBEYA






Ajali hii imetokea saa kumi jioni hakuna aliyepoteza maisha majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa katika hospitali ya Mafinga kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu.
Previous
Next Post »