Mh. Saada Mkuya awasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya fedha mwaka 2014/2015


Hotuba Mawaziri fedha
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma. Waliokaa viti vya nyuma ni Manaibu Waziri Mwigulu Nchemba (kushoto) na Adam Malima (kulia).(Picha na Wizara ya Fedha).
Hotuba 1
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Mb) akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2014/15 leo mjini Dodoma.
Previous
Next Post »