Leo
mawakili wa pande zote wametoa maelezo yao huku Upande wa Henry Kilewo
na wenzake wakitaka mahakama Kuu ifute mashtaka yanayowakabili kutokana
na kutokuwa na uhalali wa kisheria.
Mahakama
Kuu kanda hiyo ya Tabora imepanga kuwa itatoa maamuzi yake juu ya
shauri hilo ifikapo Agosti Tano mwaka huu
EmoticonEmoticon