Mtoto mmoja wa miaka nane, mkazi wa Mjimwema Songea mkoani Ruvuma amefanyiwa ukatili wa kutisha na Baba yake wa kambo aitwaye Stan Nyoni kwa kumchoma moto mikono yake yote miwili kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani.
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma bado linamsaka mtuhumiwa wa unyama huo,Stan Nyoni ambaye alitoroka baada ya kufanya unyama huo huku mtoto huyo akiwa amelazawa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma Songea.
Tukio hilo la kinyama limewafanya baadhi ya madaktari na manesi wa hospitali hiyo kumwaga machozi kutokana na mtoto Nice kufanyiwa kitendo hicho cha kusikitisha cha kuchomwa moto mikono yake miwili na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake.
Afisa muuguzi msaidizi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma Bw. Aidan Ndunguru anasema mtoto huyo ameumia katika jicho la kulia,mgongoni huku akiwa na majeraha makubwa katika viganja vya mikono yake miwili ambayo alimwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto.

Artikel Menarik Lainnya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza mabasi ya mwendo kasi
Nicolas Sarkozy, atangaza kuwania tena urais nchini Ufaransa Rais wa zamani wa Ufaransa , Nicolas Sar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza waliovamia maeneo ya hifadhi Katavi waondolewe. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kuhakik
Mazishi ya mpiga picha Mpoki Bukuku yalivyofanyika kijijini kwao Dodoma Mamia ya wadau pamoja na wale wa Tasnia ya Habari wameendelea kujitokeza kwa wingi katika ma
NAFASI ZA KAZI Nafasi za kazi UN kwa watanzania National Consultant – Agricultural Productivity http://ajir
Treni ya abiria yapata ajali ikitokea Kigoma kwenda Dar Treni ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam leo January 29 2
EmoticonEmoticon