Wasanii nyota wa filamu ‘Bongo Movie’ wakiongozwa na mwenyekiti wao Steve Nyerere wamenusurika katika ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo jirani na Chalinze wakiwa njiani kuelekea Dar wakitokea mjini Dodoma walipoenda kuhudhuria Tamasha la Uzalendo pamoja na Uzinduzi wa video ya wimbo wa miaka 50 wikiendi iliyopita.
Chanzo cha ajali hiyo kimetajwa kuwa ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Brevis lenye nambari za usajili T 200 CRY hata hivyo Hakuna mtu aliyeripotiwa kufa wala kujeruhiwa. Vicent Kigosi ‘Ray’, Shamsa Ford, Irene Uwoya, Johari na Jaccob Steven ‘JB’ ni miongoni mwa wasanii waliokuwepo eneo la tukio.
Artikel Menarik Lainnya
TAZAMA PICHA YA SHILOLE ENZI HIZO YUKO IGUNGA. Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani.
Tyra Banks Shares First Photo of Son York On ‘Happiest Valentine’s Day’ Of Her Life tyrabanksThis is the Happiest Valentine's Day of my life. York, Daddy @erikasla and I send you
Rapper Eve afunga ndoa na Maximillion Cooper Rapper wa kike Eve hatimaye amefunga ndoa na mpenzi wake aitwae Maxmillion Cooper, June,
HIVI INAMAANA HUYU ALIKUWA HAONI MKEWE KAVAA KITUKO AU NDIO UZUNGU UZUNGUNIIII
PICHA ZA WACHEZAJI MPIRA WA MIGUU MAARUFU NA WAKE ZAO ZIDANE NA MKE WAKE Anelka and wife, Barbara Tausia Wayne Rooney is pictured
HAPPINESS MAGESE AMBAYE KWA SASA ANATUMIA JINA LA MILLEN MAGESE ANASEMA NATESEKA KUTOPATA MTOTO UNAJUA NINI SABABU SOMA HAPA MSHINDI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA MWAKA 2001. JINA lake kamili anajulikana kama Happiness M
EmoticonEmoticon