AJALI MBILI TOFAUTI ZIMETOKEA ENEO LA MSAVUM MORO


  ajaLi ya  iliyotoke majira ya saa 1 na
nusu jirani na baa ya samaki Samaki barabara kuu ya Morogoro -Dodoma,ambapo dreva wa Lori hii alibanwa vibaya jambo lililopelekea wananchi kuvunja mlango wa gari hilo na kumchomo,Kwa Rehema za Mungu hadi anachomolewa dereva huyo alikuwa mzima ingawa aliumia viba baada kuvunyika sehemu nyingi katika mwili wake.
Ajari ya kwanza ilitokea majira ya saa 12 jioni eneo la Kiwanda cha Sabuni cha Komoa barabara kuu itokayo Msavu kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro,ambapo dereva wa bodaboda na abiri wake waligongwa na Lori na kufa papo hapo.
          Askari wa Usalama Barabarani akiwa eneo la ajali 


 Wakati ajali hiyo inatokea huku wakitu wakihangaika kuvunja mlango na kumchomoa dereva watu walikodi gari hilo waligoma kushuka kwa lengo la kulinda mzigo wao baada ya kushuhudi umati mkubwa wa watu  ulijitokeza kwenye ajari hiyo muda huo wa usiku


  Moja ya gari ndogo iliyogongana na Conter hiyo,ambapo mashuhdua wa tukio hilo walisema kwamba ajari hiyo ilihusihsa magari matatau

Damu zilitapakaa eneo hilo la dereva picha na Dustan Shekidele,Morogoro
Previous
Next Post »