WANAWAKE ACHENI HUU UKATILI ROHO HIZI ZITAKUJA KUWAHUKUMU KWANINI HAMUUMII MNA ROHO ZA AINA GANI INAUMA SANA


Jamani inauma sana kuona kitendo kama hiki. Ni elimu ambayo ina kosekana, Ni umaskini wetu, Ni hofu ya mwanadamu au nini jamani hawa watasimama siku moja mbele za hawa wazazi wao na kuwashtaki mbele za Muingu, kwani hawa ni malaika bila kosa lolote. , lakini roho yao kwa kusikitika amerudi kwa Mungu kutoa hesabu juu ya tendo baya kama hii. Jamani tunawaomba wadada na mpenzi, au bora zaidi mume, tuwahurumie hawa vichanga.
Previous
Next Post »