Keisha ajifungua mtoto wa pili wa kiume



http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/05/Keisha-akiwa-amelala-na-mtoto-wake.jpg
Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Keisha akiwa amelala na mtoto wake Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri.
 Mtoto wa KeishaMtoto wa Keishaf
Previous
Next Post »