![]() |
| Caster Semenya akiwa Violet Rasebova |
Mwanariadha wa kike wa South Africa ambaye pia mshindi wa Medali ya Olypinc Caster Semenya imeripotiwa anataka kumuoa mwanariadha mwenzake Violet Rasebova.
Sun, Semenya (23) aliwatuma wazazi wake wapeleke posa na kujadiliana kuhusu mahali.
Jarida la INSIDER limeeleza kuwa familia zote mbili zemefurahi na wamekubaliana mahali kuwa kiasi cha R25 000.
Utata wa juu ya jinsia ya Semenya kwa mara ya kwanza aliposhinda mdio za mita 800 kwa wanawake kwenye mashindano ya IAAF World Championships mjini Berlin, mwaka 2009, ndipo wadau walitaka apimwe njinsia yake na kubaini kuwa ni mwanamkwe....But sasa anataka kuoa...HATARI SANA
![]() |
| Caster Semenya |


EmoticonEmoticon