Baadhi ya nyumba zikiwa zimemezwa na maji |
Wananchi wakijaribu kuokoa maisha yao |
Mwendo wa kusaidianatu hapa |
Huku nako pia hatari vilevile |
Magari nayo hayakukosa mabalaha |
Hatariiii......
akijitutumua kupita lakini aaaah wapi, safari iliishia hapa.
Nje ya maduka ya Kariakoo leo mchana....
Huyu sasa hata sijui alikuwa akielekea wapi huku..
Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji katika Eneo la Mzambarauni Mkoa wa Morogoro kutokana na Mvua zilizo nyesha.
Huyu jamaa anasubiri manusura.....hap jijini Dar
Huyu jamaa anasubiri manusura.....hap jijini Dar
Maji ya mvua yaliyosababisha mafuriko yakipita kwa kasi katika daraja la Mzambarauni mjini Morogoro.
Hapa ni eneo la Msasani jijini Dar....jamaa wakijaribu kuokoa baadhi ya mali zao walizofanikiwa kuwahi.
Hapa ni eneo la Msasani jijini Dar....jamaa wakijaribu kuokoa baadhi ya mali zao walizofanikiwa kuwahi.
Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji....
Jamaa akiduwaa asijue la kufanya....
Jamaa akiduwaa asijue la kufanya....
Mtoto huyu akijitahidi kupunguza maji yaliyojaa ndani kwao kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha na kusababisha mafuliko Mkoa wa Morogoro.
Wakazi wa Morogoro wakipita ndani ya maji kutokana na Mvua kubwa iliyosababisha mafuliko leo.
Nyumba iliyokuwa ikiendelea kujengwa ikiwa imeezuliwa na upepo huku ikiwa imezungukwa na maji.
Hatari tupu hapa hata wasafiri hawakuweza tena kuingia eneo hili kupata chochote kutokana na eneo hili kujaa maji.
Wakazi wa Morogoro wakiangalia baadhi ya nyumba zilizoezuliwa na upepo na kuzingirwa na maji.
EmoticonEmoticon