MVUA YA MWAKA HUU NI HATARI



Juu na Chini: Magari mawili yakiwa yameingia mtaroni baada ya utelezi wa mvua zilizo kuwa zinanyesha katika barabara ya Kilwa eneo la Mbagala, jijini Dar es Salaam


 Mafuriko ya mvua kali bado yanaitesa Dar Es Salaam, hili ni eneo linalouza tiketi za mabasi yanayokwenda mikoani, haswa kusini mwa Tanzania, likiwa limezingirwa na maji na kusababisha ugumu wa wananchi kupata huduma hiyo, eneo la Mbagala Mwisho.
Previous
Next Post »