BREAKING NEWZ MAKAMU WA RAIS,MKUU WA MKOA WA DAR MECK SADICK,KOVA NA MWANDISHI WA TBC WAMENUSURIKA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA.





Makamu wa rais mkuu wa mkoa wa Dar ,Kova NA Mwandishi wa TBC wamenusurika  katika ajali ya helkopta kwa sasa wanatibiwa kwani wamepata majeraha madogo madogo.Ajali hiyo imetokea wakati wakikagua athari za mafuriko dar katika helkopta hiyo ya polisi kwa habari kamili endelea kutufuatilia hapa.
Previous
Next Post »