WENYEVITI WA KAMATI MPYA ZA BUNGE LA KATIBA WALIOCHAGULIWA


3 (1)

Wenyeviti wa kamati za bunge waliochaguliwa hawa hapa:


1. Hamad Rashid
2: Christopher ole sendeka
3: Shamsi vuai nahodha
4: Anna Abdallah
5: Job Ndugai
6: Anna Kilango malecela
Kamati Namba Moja: 
Mwenyekiti ni Ummy Mwalimu, Makamu Mwenyekiti ni Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.

Kamati Namba Mbili: 
Mwenyekiti ni Shamshi Vuai Nahodha, Makamu Mwenyekiti ni Shamsha Mwangunga.

Kamati namba tatu: 
M/kiti ni Francis Michael, Makamu ni Fatma Musa Juma.

Kamati namba nne: 
Mwenyekiti ni Christopher ole Sendeka na Makamu ni Dk. Sita Mamboya.

Kamati namba tano: 
Mwenyekiti ni Hamad Rashid Mohamed na Makamu ni Assumpter Mshama

Kamati namba sita: 
Mwenyekiti ni Stephen Wassira na Makamu ni Dk. Maua Dftari.

Kamati namba saba: 
Mwenyekiti ni Brigedia Jenerali (mstaafu) Hassan Ngwilizi na Makamu ni Waride Bakar Jabu.

Kamati namba nane: 
Mwenyekiti ni Job Ndugai, Makamu ni Biubwa Yahya Othman.

Kamati namba tisa: 
Mwenyekiti ni Kidawa Hamid Salehe na Makamu ni William Ngelleja.

Kamati namba 10:
Mwenyekiti ni Anna Abdallah, Makamu ni Salim Hawadhi Salim.

Kamati namba 11: 
Mwenyekiti ni Anna Killango, Makamu ni Yusuf Hamad Masauni.

Kamati namba 12:
Mwenyekiti ni Paul Kimiti na Makamu ni Thuwayba Edington Kisasi.
Previous
Next Post »