ANGALIA PICHA TUKIO LA KUTISHA SAME MKOANI KILIMANJARO, ACHARANGWA VIWEMBE USONI Anonymous 23:20 Anonymous DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe, Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita, Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi. Chanzo hakikutaja jina laDada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon