T A N G A Z O



T         A        N        G        A       Z      O  
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z.MSANGI ANAWATANGAZIA WAANDISHI WOTE WA HABARI MKOA WA MBEYA KUWA TAREHE 11.03.2014 KUANZIA MAJIRA YA SAA 10:00 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO OFISI YA RPC ATAKUWA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI [PRESS CONFERENCE] IKIWA NI SEHEMU YA UTARATIBU WAKE ALIOJIWEKEA PAMOJA NA KUTOA TATHMINI YA HALI YA UHALIFU KWA MKOA WA MBEYA KWA KIPINDI CHA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI, 2014.
“NYOTE MNAKARIBISHWA”

Imetolewa na:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
Previous
Next Post »