STORY YA WEMA KUFANYA FUJO STUDIO BAADA YA KUWAKUTA DIAMOND NA VICTORIA KIMANI, STORY IKO HAPA





Gossip cop Soudy Brown wa U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye headlines kwamba ana uhusiano wa kimapezi na Diamond. 



Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa kwenye mitandao na kumbe Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio
Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio.



Previous
Next Post »