
Mshambuliaji
wa Chelsea Eden Hazard akifunga kwa kichwa baada ya hapo awali mpira wa
penati aliopiga kupanguliwa na mlinda mlango wa Crystal Palace, Julian
Speron.

Mlinda mlango wa Crystal Palace, Julian Speron akiuangalia mpira ukijaa wavuni na kuiandikia Chelsea bao 1-0

SISI
NI MABINGWAAAA!! Wachezaji wa Chelsea wakishangilia katika chumba cha
kubadilishia nguo baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchi Uingereza.
Chelsea imetwaa ubingwa baada ya kuifunga Crystal Palace bao 1-0 katika
mchezo uliochezwa leo na kufikisha pointi 83.

WEWEEEEEEE!!!
Mmiliki wa Chelsea, Mrusi tajiri Abramovich akishangilia kwa furaha
baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza katika
msimu 2014/2015.
EmoticonEmoticon