Picha, Ommy Dimpoz Uingereza Kwenye Making The Video.


ommy



Ommy Dimpoz Kwenye Making The Video Uingereza, Picha Mbili Za scene akiwa chini ya ulinzi, Nice idea. Director wa hii video amefanya video za wasanii wakubwa Africa na zikafanikiwa, Video za wasanii kama Fuse ODG, Davido na Wizkid. 
Ni hatua kubwa kwa Dimpoz kuweza kuwekeza mamilioni ya pesa kwenye muziki wake ukizingatia ana nyimbo tano tu kwenye radio kwa sasa Tanzania.
Previous
Next Post »