Shindano la Kigoli laahirishwa hadi Des.21

Embedded image permalink

Lile shindano la Kigoli ambalo lilitakiwa kufanyika jana Jumapili katika ukumbi wa Bizziness Park,Kijitonyama,Dar limehairishwa kutokana na mvua kubwa kunyeesha jana katika sehemu kubwa ya Jiji la Dar Es Salaam.
Akizungumza na Mtandao wa Cloudsfm mwandaaji wa shindano hilo Maimartha Jesse alisema kuwa kama wangeamua kufanya shindano hilo wasingewatendea haki mashabiki ndiyo maana wameamua kulihairisha hadi tar.21 mwezi huu.
‘’Kwanza tunaomba radhi kwa wapenzi wetu kwani ilikuwa nje ya uwezo wetu kutokana na mvua kubwa iliyonyeesha jana,vigoli wapo kambini wanakula raha na wapenzi wetu waendelee kuangali kigoli kupitia clouds tv kila Jumamosi saa tatu usiku.
Previous
Next Post »