Mikhail Khalashnikov aliyevumbua bunduki aina ya AK-47 afariki dunia


Raia wa Urusi, Mikhail Khalashnikov ambaye aligundua bunduki aina ya AK-47 mwaka 1942 amefariki dunia jana (December 23).
Khalashnikon amefariki akiwa na umri wa miaka 94, na anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa na majeshi mbalimbali duniani kote kwa kuivumbua silaha ambayo imekuwa ikitumika zaidi na majeshi hayo.
Jina AK limetokana na kifupi cha maana ya lugha ya kirusi ‘Khalashnikov’s Mashine gun’, na 47 inamaanisha mwaka ambao ilianza kutumika, kwa kuwa ilianza kutumika mwaka 1947.
Previous
Next Post »