MATOKEO YA KLABU BINGWA ULAYA (UEFA) JANA 11/12/2013

MATOKEO YA KLABU BINGWA ULAYA (UEFA) JUMATANO 11/12/2013


Viwanja tisa barani Ulaya viliwaka moto baada ya kushuhudiwa mechi za kuwania Klabu bingwa, Arsenal ikiwa ugenini ikikaribishwa na Napoli ilikubali kichapo cha goli 2 – 0 kipigo ambacho hakiwatetereshi wao kusonga mbele magoli ya Napoli yalifungwa na Higuain katika dakika ya 73 na Callejon katika muda wa nyongeza dakika ya 3 baada ya muda wa kawaida wa dakika 90 kumalizika ilikuwa ni dakika ya 93, Galatasaray wakiwa nyumbani walifungwa 1 – 0 na Juventus, Chelsea wakiwa Stanford bridge walishinda 1 – 0 dhidi ya Steaua, Schalke walishinda 2 – 0 dhidi ya Basel, Marseille wakilala 1 – 2 mbele ya Dortmund, Austria Wien ilipaata ushindi mnono wa magoli 4 – 1 dhidi ya Zenit na Atletico wakiwa uwanja wa nyumbani wakaifunga Porto 2 – 0, Barcelona wakaifunga 6 – 0 Celtic na AC Mallan wakatoka 0 – 0 na Ajax .
Previous
Next Post »