Mpaka
sasa hazijatoka taarifa rasmi lakini inasemekana Gari aina ya fuso lenye namba
za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza
Moramu,wakati wakiendelea kujaza moram Gari liliangukiwa na
ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.
Wananchi
wa eneo hilo wameendelea kufukua udongo ili kuopoa miili ya
watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani
wilaya ya Moshi vijijini.
Mbali
na wananchi pia Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro Leonidas Gama ulifika kushuhudia zoezi la ukoaji wa miili
ya watu hao.
EmoticonEmoticon