KAMANDA WA POLISI MKOA
WA MBEYA DIWANI ATHUMANI – ACP KWA KUSHIRIKIANA NA KIKOSI CHA MAFANIKIO YA
POLISI MKOA WA MBEYA WAMEANDAA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUUKOMBE LA POLISI JAMII YATAKAYOSHIRIKISHA TIMU
NANE ZA MADEREVA TAXI WA JIJI LA MBEYA. MASHINDANO HAYA YAMEDHAMINIWA NA
KAMPUNI YA COCA COLA NA YATAZINDULIWA RASMI TAREHE 10 .08.2013 MAJIRA YA SAA
10:00 KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI RUANDA NZOVWE MGENI RASMI AKIWA
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
EmoticonEmoticon