Diamond Platnums akiwa ni miongoni wa abiria waliokwama
kutokana na uwanja huo kulipuliwa, ameiambia millardayo.com kwamba
imebidi abiria wapelekwe hotelini na kuambiwa inawezekana ndege zikaanza
kuruka saa moja au saa mbili usiku leo ambapo taarifa walizozisikia ni
kwamba ni shambulio la bomu.
Bado tunaendelea kuwa karibu na vyanzo ili kupata info zaidi
lakini kwa sasa ni kwamba imetangazwa abiria wako salama ambapo ndege
zote zilizokua zinatua Nairobi zimeelekezwa kutua Mombasa.
EmoticonEmoticon