Taarifa Za Polisi Kuhusu Sheikh Ponda Kupigwa Risasi.


9 70984

HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro ACP Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda kumkamata lakini kwa kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na hawajui alipo. Jeshi hilo bado linamsaka na halina taarifa kama yupo hai au la.


CHANZO: East Africa Radio.

Previous
Next Post »