AJALI MBAYA YATOKEA, BUS LA MERIDIAN LAUA WATU KIBAO


meridian1
Likiwa limetoka rombo kwenda Dar. Limeanguka hapa karibu na mbwewe Bagamoyo. Siti zote ziko nje. Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. meridian1 meridian2
POLENI SANA JAMANI WAHANGA WA TUKIO HILI
Previous
Next Post »