Pamoja na kutokwa machozi mengi kwa Feza Kessy baada ya mpenzi wake Oneal kutoka jana kwenye shindano hilo, Watanzania wengi na nchi mbalimbali zimefurahi kutokana na kuvunjika kwa uhusiano wa Oneza. Hiyo ni baada ya Oneal wa Botswana jana kutolewa kwenye The Chase.
Wanaomani hivyo ni pamoja na aliyekuwa mshiriki wa Sierra Leone, Bassey aliyeandika:
I want Feza to go back to the person I used to like. I have faith now since her manipulator,Oneal is OUT#BBATheChase.
Sasa Feza anarudisha matumaini ya kuucheza vizuri mchezo.
EmoticonEmoticon