Chric kipindi akilitumia jeshi na picha ya kulia akiwa tayari amebadili jinsia na kujiita Christine.
Mwanajeshi wa Kimarekani wa kikosi cha Navy Sael, aliyebadili jinsia.
New Christine
Chric/Christine
Katika hali isiyo ya kawaida mwanajeshi wa jeshi la Navy Seal, wale
wenye historia ya kushiriki kumuua Osama Bin Laden, bwana Chric hivi
sasa amejibadili jinsia pamoja na jina na kujiita Christine jambo ambalo
limewashangaza wengi. Mpaka sasa serikali ya Marekani haijatoa tamko
lolote juu yake.
EmoticonEmoticon