
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri Mkuu wa Thailand kwa
maafisa waandamizi mbalimbali wa serikali wakati wa kumsindikiza mgeni
huyo aliyehitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini mchana huu.
Hapo akipeana mkono na Mkumbwa Ally wa Wizara ya Mambo ya Nje na
ushirikiano wa Kimataifa

Akisalimiana na Dr Laurent Ndumbaro

Akisalimiana na Dr Hamisi Mwinyimvua

Akisalimiana na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Bw. Omar Mjenga

Akiagana na Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Balozi Mbelwa Kairuki

Akiagana na Kamanda wa Mkoa maalumu wa kipolisi wa Dar es salaam Suleiman Kova.PICHA NA IKULU.
EmoticonEmoticon