Taswira
ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu
yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni
kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uharibifu wa Mazingira
uliokithiri. (Picha na www.sufianimafoto.com).
Taswira ya mlima huo na Kilele cha Mlima Kibo.
Mlima
Kilimanjaro Kushney, kama unavyoonekana ukiwa hauna Barafu huku
iliyobaki ikielekea kumalizika kwa kuyeyuka. (Picha na
www.sufianimafoto.com).
EmoticonEmoticon