HUYU NDIO MSHINDI WA DUNIA MTANZANIA KATIKA MCHEZO WA KURUKA KAMBA

IMG 4635 14a12
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo, kutoka Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Bibi Juliana Yassoda (wa kwanza kushoto) akipokea Kombe la Ushindi kutoka kwa kijana Hamis Mohamed Kondo aliyeshinda mashindano ya dunia ya Mchezo wa Kuruka Kamba yaliyofanyika Orlando , nchini Marekani Julai, mwaka huu. Makabidhiano hayo yamefanyika  jijini Dar es Salaam
Previous
Next Post »