Waziri Chikawe azindua Kitabu kiitwacho “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania” jijini Dar.

SONY DSC
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mthias Chikawe. akitoa hotuba wakati akizindua kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania) kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Tanzania, Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba,uzinduzi huo ulifanyika kwenye Hotel ya Peacock jijini Dar es salaam leo. (PICHA  NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE).
SONY DSC
Waandishi wa habari wakisikiza kwa umakini hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mathias Chikawe. wakati wa uzinduzi wa kitabu kiitwacho (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania)kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Tanzania, Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba.
SONY DSC
Mtunzi wa  kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba,akielezea maudhui ya kitabu hicho kabla yakuzinduliwa.
SONY DSC
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kitabu cha (Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania) kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Tanzania, Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba.
SONY DSC
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mathias Chikawe(kulia)akikata utepe kuzindua rasmi kitabu hicho(katikati) Mtunzi wa  kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto) Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi.
SONY DSC
) Waziri wa Katiba na Sheria Mhe:Mthias Chikawe(kulia)akionesha  kitabu hicho mara baada ya kukizindua(katikati) Mtunzi wa  kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto) Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi.
SONY DSC
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe(kushoto)akimkabidhi  kitabu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi. mara baada ya kukizindua(katikati) Mtunzi wa  kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba (kushoto).
SONY DSC
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa  kwenye uzinduzi huo.
SONY DSC
Mtunzi wa  kitabu cha (Mabadiko ya Katiba na Hatima na Tanzania) Luten Kanali Lindwino Simon Mgumba(kushoto)akisalimiana na Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mhe Emmanuel Nchimbi alipowasili kwenye ukumbi wa Hotel ya Peacock jijini Dar es salaam leo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.
Previous
Next Post »