KATIKA IBADA YA PILI YA MAOMBI YA UREJESHO SEHEMU YA KUMI NA MBILI, NDUGU STEVE IBRAHIM MGAYA AMBAYE NI MGANGA WAKIENYEJI NA MCHAWI ALIKAMATWA NA NGUVU ZA YESU, HIVYO AMEOKOKA NA KUKABIDHI KAZI ZAKE ZOTE ZA KICHAWI.MAOMBI YA UREJESHO YANAENDELEA IBADA YA TATU.

 
 STEVE IBRAHIM MGAYA, Mganga na mchawi alikamatwa na  nguvu Mungu leo wakati ibada ikiendelea, Rev. Katunzi alimuongoza Sala ya toba.

                               ALIKABIDHI MIKOBA YOTE YAKICHAWI NA KIGANGA.         
      
                                                                      Vichupa

                                                                      Vifaa vya kichawi

                                                

                                                           Fimbo na sanda za misukule

                                               BAADA YAKUKABIDHI VIFAA VYAKE REV. KATUNZI ALIMUONGOZA SALA YA TOBA NA KUMUOMBIA STEVE IBRAHIM MGAYA.



Previous
Next Post »