T.I.D mkali wa long time kwenye bongoflava
tangu enzi za Zeze, Siamini hadi leo hii na Kiuno na bado anamiliki
headlines, wiki kadhaa zilizopita baada ya kumaliza msiba wa mshikaji
wake Mangwea, alisafiri kwenda U.K kufanya show ambako huko pia ndio
alifanya interview inayozungumziwa sana hivi sasa
kwenye mitandao pale alipokiri hadharani kwamba huwa anavuta bangi,
zifuatazo ni pichaz za jinsi Mzee mnyama T.I.D akiwa kwenye mitaa
mbalimbali ya U.K
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon