Kwa
Mujibu Wa Gardner G Habash aliye kuwa karibu na rapper Profesa Jay, Leo
Jioni Walipata taarifa kuwa mama yake mzazi amepata ajali na yupo kituo
cha polisi akichukua PF3 ili akapate matibabu. Baada ya Profesa kupokea
simu, palianza kuwa na tatizo la mawasiliano, Profesa alimpigia simu
Mama yake mzazi na ndipo alipo mwambia Profesa kuwa ni kweli amepata
ajali na anakwenda hospitalini.
Katikati
ya ule muda aliotumia Profesa Kufika Hospitalini, Mama Yake Mzazi Bi
Rosemary Majanjara Alifariki Dunia. Pole kwa Familia Ya Profesa Jay,
Ndugu na Marafiki Zao.
Pole
sana Profesa Jay kwa kuondokewa na Mama yako kipenzi. Mungu akutie
nguvu katika kipindi hiki kigumu ..Z anto pia amefiwa na mama yake
baada ya kusumbuliwa na saratani ya ini kwa muda mrefu ,blog hii inatoa
pole kwa prof na z anto kwa msiba walioupata..
EmoticonEmoticon