Leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya mwigizaji mwenzetu na rafiki
yetu Mahsein Awadhi maarufu kama Dr.Cheni. Cheni ni mmoja wa waigizaji
wakongwe na waliojipatia sifa kubwa hapa nchini katika kipindi chote
hichi cha maisha yake. Katika pitapita zetu tuliweza kupata maneno
aliyoandikiwa na muigizaji Elizabeth Michel katika kusherehekea siku
yake ya kuzaliwa.
Lulu ameandika…
“Daah..dnt
even know whr to start!!!!okay....umekuwa ni mtu muhimu sana katika
maisha yangu...mtu mwenye kunipenda kwa dhati na kunithamani...kila
ninapokuwa najaribu kukuelezea huwa nakosa cha kuongea na najisikia
kulia tu....!!!nina uhakika sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea uishi
maisha marefu yenye amani,afya na faraja!!!HAPPY BIRTHDAY DADDY
CHENI......♥”
Dr. Cheni amekuwa ni mtu wa karibu sana wa
mwanadada Elizabeth Michael na ni mmoja wa watu waliofanikisha kwa
kiwango kikubwa kwenye upatikanaji wa dhamani wa mwanadada huyu katika
kesi inayomkabili.
Happy birthday Dr.Cheni.
EmoticonEmoticon