Mwigizaji wa bongo movies anayekubalika kwa kuwa na
tabia nzuri cathy ama Sabrina Rupi amesema kwamba yeye ni mke bora
anayejua kumtunza mume wake na tofauti na watu wengi wanavydhani au
kufikiria.
Akizungumza kwa simu kwenye interview tuliyofanya naye jana
cathe amesema kuwa katika vitu anavyovijali sana ni ndoa yake na mume
wake ambaye amesema kuwa hata akiwa popote lazima ahakikishe yupo salama
na ana hali njema
Cathe ambaye pamoja na kuigiza anafanya biashara amesema kuwa
ndoa ndo kitu muhimu sana kwake sasa katika maisha yake na kamwe hawezi
kuruhusu skendo zimuharibie jina
EmoticonEmoticon