Watu Elfu 78 wametuma maombi ya Kwenda kuishi sayari ya Mars Bila Kurudi tena Duniani

 

Image by Bryan Versteeg / Mars One
 
Image by Bryan Versteeg / Mars One
Mpango wakupeleka makazi ya Binadumu kwneye sayari ya Mars imeonyesha mafanikio baada ya watu zaidi ya 80,000 ndani ya wiki 2 waliomba maombi ya kwenda kuishi kwenye sayari Mars bila kurudi tena duniani, na mpango huu unataraji watu laki 5 kutumaombi kabla ya tarehe 31 mwezi wanane mwaka huu.
MarsOne Ni shirika lisilo lakibiashara limepanga kufanya mpango who wakutoa tiketi ya kwenda tu Mars, kutokana na uhafifu wa tekenolojia na mabadilikiko ya kisakolojia kwa binadamu yatabadilika kwa 38% . tovuti ya MarsOne iliandika kuwa “to the 38% gravitation field of Mars, and be incapable of returning to the Earth’s much stronger gravity,” .
Shirika hilo tayari lisha kusanya maelfu ya maombi kutoka nchi 120. Nachi inayoongoza kwa maombi mengi ni Marekani yenye maombi 17,324, ikifuatia China yenye maombi 10,241, UK maombi 3581, Urusi na Brazili.
Mmoja wa Wanzilishi na CEO wa MarsOne Aliambia vyombo vya Habari:
“With seventy-eight thousand applications in two weeks, this is turning out to be the most desired job in history. These numbers put us right on track for our goal of half a million applicants,”

Previous
Next Post »