RAPA LUDACRIS AONGEZEA NGUVU PROMO YA FAST & FURIOUS 6 KINAMNA HII

Mzigo umeanza kutengenezwa April 2011 na unatarajiwa kutoka May 24 mwaka huu, Fast & Furious 6 ambayo kwenye line ya atakaoshine kwenye picha hili yupo Vin Diesel, Paul Walker, Dwayne Johnson, Michelle Rodriguez and Jordana Brewste.

Picha hili ambalo linasubiriwa kwa hamu, Limefanyika sehemu mbalimbali ikiwepo Visiwa vya Canary, Scotland, pamoja na Los Angeles Marekani.


Cheki mnyamwezi Luda akipiga promo ya mzigo huu, maandalizi poa kabisa kabla ya tarehe 24 mwezi ujao.
Previous
Next Post »