MAHAKAMA YA WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE SEKONDARI YA ILIMA WILAYANI RUNGWE KWA MAADA YA KUJUA KANUNI, HAKI NA WAJIBU WA RAIA


KULIA NI MHESHIMIWA HAKIMU MKAZI JULIANA NANKOMA NA KUSHOTO NI  MHESHIMIWA HAKIMU MKAZI GASTO MAJIWE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ILIMA WILAYANI RUNGWE




KIONGOZI WA WANAFUNZI RIZIKI MWAKAGALI AKIULIZA SWALI KWA WATOA MAADA SWALI LILIKUWA NI KWANINI MWANAFUNZI ANAPOPATA MIMBA ANAYE FUNGWA NI MWANAUME? NA HATA KAMA WOTE WAKIWA WANAFUNZI?


WANAFUNZI WA ILIMA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA


MHESHIMIWA JULIANA NANKOMA HAKIMU MKAZI  AKIONGOZA KUTOA MAADA KWA WANAFUNZI JUU YA KUJUA KANUNI, HAKI NA WAJIBU WA RAIA AMBAPO MHESHIMIWA JULIANA NANKOMA KATIKA MAJUMUISHO YAKE AMESEMA ILI KUPATA ELIMU NA MTU AELIMIKE LAZIMA ELIMU ITAFUTWE HIVYO AMEWAPONGEZA WANAFUNZI HAO WA SHULE YA ILIMA SEKONDARI  YA WILAYANI RUNGWE KWA KUONA UMUHIMU WA KUOMBA NAFASI KATIKA MAHAKAMA HII YA WILAYA ILI KUJIFUNZA ELIMU YA URAIA KATIKA MAADA YA KANUNI, HAKI NA WAJIBU WA RAIA


KULIA MHESHIMIWA GASTO MAJIWE RM - TUKUYU AKITOA MAADA MBELE YA WANAFUNZI HAWAPO PICHANI HUKU MHESHIMIWA JULIANA NANKOMA KUSHOTO AKISIKILIZA NA KUFUATILIA KWA MAKINI


HAKIMU MFAWIDHI WA WILAYA YA RUNGWE NAYE AKAPATA WASAA WA KUWASALIMU WANAFUNZI NA KUWAULIZA MASWALI MACHACHE HUKU AKIWAAMBIA MLANGO WA KUJA MAHAKAMANI HAPO UKO WAZI ILI KUJIFUNZA MAMBO MENGI YANAYOHUSU MAHAKAMA ZAIDI AMEWATAKA WANAFUNZI HAO KUWA MABAROZI WEMA KATIKA JAMII HASA KWA WANAFUNZI WENZAO ILI KUONGEZA CHACHU YA KUJIFUNZA ZAIDI NA KUTAMBUA HAKI ZAO NA WAJIBU WA KUWA RAIA WA TANZANIA


BAADA YA SOMO KWA WANAFUNZI NIKAPATA NAMI WASAA WA KUPATA SOMO JINSI MAHAKAMA INAVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE NA KUJUA CHANGAMOTO KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZA KILA SIKU


OMARI KIGWELE HAKIMU MFAWIDHI WA WILAYA YA RUNGWE. MHESHIMIWA KIGWELE AMEWATAKA WANAFUNZI KUIONA MAHAKAMA NI SEHEMU YA DARASA KWAO KWAKUWA HAPO WATAJIFUNZA MAMBO MENGI KWA VITENDO HASA KUJUA HAKI NA WAJIBU KWA RAIA NA HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UUNDWAJI WA KATIBA MPYA YA TANZANIA PIA AMEWATAKA WANANCHI HUSUSANI WA WILAYA YA RUNGWE KUFIKA MAHAKAMNI HAPO KUJIONEA SHUGHURI ZA MAHAKAMA ZINAVYOENDESHWA NA NDIPO WATAJIFUNZA MAMBO MENGI SANA KUPITIA MAHAKAMA YAO
Previous
Next Post »