MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WANANCHI WA RUNGWE WALIOHUDHURIA MAOMBI YA KUOMBEA TAIFA LA TANZANIA AMANI HUKU NAYE AKIPATA WASAA WA KUKEMEA TABIA ILIYOANZANUJITOKEZA YA KUWAUA WATOTO KWA KUKATWA VICHWA PIA AMEWATAKA WANANCHI KUOMBEA BUNGE LA TANZANIA KWAKUWA WABUNGE WANAPOTEZA UWEPO WA MUNGU WA KUJITAMBUA KUWA WAPO BUNGENI KWA MASLAHI YA WATANZANIA. HUKU AKIWATAKA WATANZANIA KUWALEA WATOTO NA JAMAA KATIKA MISINGI ILIYO NA MAADIRI YA KUMWOGOPA MUNGU ILI TANZANIA KUWA NI MAHARI PAZURI PA KUISHI |
EmoticonEmoticon