MUUMIN ATOKA HOSPITALINI

MUUMIN ATOKA HOSPITALINI

MWINJUMA Muumin jana usiku aliruhusiwa kutoka Zahanati ya Kisiwani alipokuwa amelazwa baada ya kushikwa na malaria kali.
Muumin alilazwa juzi jioni hospitalini hapo na kutundikiwa drip nne za quinine.
Mwinjuma Muumin ambaye ni kiongozi wa Victoria Sound aliiambia Saluti5 kuwa anajiskia vizuri na huenda akarejea jukwaani kwenye maonyesho ya Pasaka.
Previous
Next Post »