MJUE ALIYEACT MOVIE YA YESU, ANAITWA NANI NA TAZAMA PICHA ZAKE HAPA



Wakristu wengi na hata wasio wakristu hua wanapenda sana kutazama movie za Yesu, na wengi hua hawajui yule aliye act katika movie hiyo ya yesu ni nani. Katika kipindi hiki cha pasaka, nimeona niwape kidogo hiki kuhusiana na huyu jamaa anaye act movie akiwa kama yesu, hasahasa kwenye movie ya Passion Of Christ .

Jamaa huyu ni mmarekani, anaitwa Jim Caviezel. Katika movie hiyo ya yesu Jim aliuvaa uhusika na kuifanya movie hiyo kupendwa na watu mpaka wengine hua wanahisi huyo aliyepo kwenye movie ni yesu halisi kumbe sio.Jim alizaliwa Mount Vernon, Washington Marekani hapo September 26, 1968. Jamaa japokuwa amezaliwa marekani lakini asili yake ni Uswiss kwa upande wa baba, na mama yeke ni kutoka Slovakia.

Hizi ni baadhi ya picha za Jim Caviezel

Hii ndio movie aliyoact inayoitwa Passion of Christ, hua inatia huruma sana

Hii ndio Cover ya Movie hiyo ya Yesu Aliyo act Jim Caviezel, ambayo ilikuwa directed na mwongozaji mahili wa filamu nchini Marekani ajulikanaye kama Mel Gibson......

Previous
Next Post »