Dakika kadhaa zilizopita mwanadada dafada Wema Sepetu amechukua fomu ya kushiriki mchujo wa shindano la Big Brother hapa Bongo , fomu hizo kazichukua kwenye ofisi za DSTV zilizopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam. Hivyo kwa sasa anasubiri mchakato wa awali , ambapo tarehe ya mchujo itatangazwa hapo baadaye.Kila la kheri
EmoticonEmoticon