ASKARI WA
USALAMA WA BARABARANI WAKIWA WAMEFIKISHA MAJERUHI PAMOJA NA WATU WALIO FARIKI
HOSPITALINI HAPO
RIPOTI
IKIWA INATOLEWA JUU YA AJALI HIYO HUSSEIN KIF
MMOJA YA
ABIRIA WALIOKUWEMO KATIKA AJALI HIYO
AJALI
MBAYA IMETOKEA MAPEMA LEO MBALALI AMBAPO LORI LA MIZIGO AINA YA SCANIA ILIKUWA
IMEBEBA WATU ZAIDI YA MIAMBILI (200) AMBAO WALIKUWA WANAELEKEA KATIKA KITONGOJI
KIMOJA CHA MWEKEZAJI .
AJALI
HIYO IMETOKEA BAADA YA LORI HILO LENYE NAMBA ZA USAJILI T 398 BSE KUANGUKA NA
KUSABABISHA WATU 5 KUFARIKI DUNIA NA WENGINE 20 KUJERUHIWA VIBAYA.
HATA
HIVYO MAJERUHI WOTE WANAKIMBIZWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA ILIYOPO MBEYA MJINI
MUDA HUU.
HIZI NI
TAARIFA ZA AWALI TUU, HABARI NA PICHA ZOTE ZINAKUJA HAPA HAPA
PICHA NA
MBEYA YETU BLOG
EmoticonEmoticon