Baba wa Rais Museveni afariki dunia.

 


Mzee Amos Kaguta baba mzazi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefariki dunia leo asubuhi huko jijini Kampala Uganda.

Mzee Amos Kaguta amefariki akiwa na umri wa miaka 96 na inasemekena alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya tumbo pia kichwa.
Previous
Next Post »