Lil Kim apoteza kabisa sura yake baada ya upasuaji.


Rapa Lil Kim amepost selfie iliyoshtua watu kwenye mitandao baada ya kumuona Lil Kim mwenye miaka 41 akiwa na muonekano wa mtoto wa miaka 17.
Wasanii kibao wameanza kuongelea muonekano wake huku wakiponda harakati zake alizofanya ndani ya miaka kumi kwa kubadilisha uso wake haswa kwenye pua na kidevu.
kim 2
Previous
Next Post »