Kenya: Musalia Mudavadi amteua mgombea mwenza

Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi akiwa na Mkewe Tesse

Nchini Kenya, mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya Muungano wa Amani, Naibu Waziri Mkuu Musalia Mudavadi wa chama cha UDF leo 22.01.2013 amemteua mgombea mwenza kwenye uchaguzi mkuu wa Machi 4, mwaka huu,.
Hafla hiyo imefanyika katika makao makuu ya chama cha UDF mjini Nairobi siku moja baada ya vyama vya kisiasa kuwasilisha majina ya wagombea wao kwa tume ya uchaguzi nchini IEBC. Kura ya mchujo iliyokamilika mwishoni mwa wiki iliyopita ilikumbwa na vurugu huku ndugu wa Waziri Mkuu Raila Odinga wakijiondoa kwenye kinyang'anyiro cha Ugavana huko Kisumu na Siaya.

 

Previous
Next Post »