HEBU CHEKI PICHA 10 KALI ZA FLORA MBASHA UINGEREZA


Mwimbaji staa wa gospel Tanzania Flora Mbasha kwa sasa yuko Uingereza kwa mwaliko wa kutoa huduma yake ya muziki wa gospel, hii ni mara yake ya pili kwenda Uingereza ambako mara ya kwanza alikwenda akitokea Marekani kwenye mwaliko wa kufanya show pia.
Hapa ni wakati alipoalikwa kwa mahojiano na kituo cha utangazaji cha BBC.
.
.
.
Akifanya interview ya TV na Salim Kikeke.
.
Mahojiano yanaendelea na mtangazaji wa radio hiyo anayeitwa John Solombi....

.Anajibu maswali ....

Hapa akpozi kiaina na mtangazaji Charles Hillary.
Previous
Next Post »